Kamusi Ya Kiswahili Na Kiingereza Na

Kamusi Ya Kiswahili Na Kiingereza Na 5,9/10 1208 reviews

Jul 03, 2012  Kutokana na maombi ya watu wengi waliokuwa wanatafuta hii KAMUSI (Dictionary) ya TUKI - Kiswahili kwenda Kingereza na Kingereza kwenda Kiswahili. Kuliko kum-PM mtu mmoja mmoja nimeona ni-i-upload into external servers ili kila mtu aweze kui-download kwa maendeleo ya.

inaendelea 1 MWONGOZO WA KUTUMIA KAMUSI YA KISWAHILI-KIINGEREZA Utangulizi Kamusi ya Kiswahili–Kiingereza imekusudiwa kuwasaidia watu wanaojifunza Kiingereza au Kiswahili. Ili kukidhi haja hiyo, msamiati unaotumika katika mawasiliano ya kawaida miongoni mwa wanajamii umeteuliwa na kuingizwa katika kamusi. Msamiati unaoingizwa katika kamusi ili na kufasiliwa huitwa kidahizo ( wingi wake ni vidahizo).Vidahizo hufafanuliwa kwa kupatiwa taarifa mbalimbali ambazo mwanafunzi wa lugha anazihitaji ili kumwezesha kupata umilisi wa kuiongea na kuiandika lugha. Baadhi ya taarifa hizi zimeingizwa kwa alama au misimbo ambayo sio rahisi kwa mtumiaji asiyekuwa na maarifa ya kutumia kamusi kuweza kuisimbua na kuelewa taarifa iliyofumbwa. Mwongozo huu unaonyesha namna sehemu kuu za kitomeo na taarifa mbalimbali zinazohusu lugha zilivyoingizwa katika kamusi hii.

Lengo la kuonyesha taarifa hizi ni kumwezesha mtumiaji kamusi ajue taarifa zilizomo na jinsi zilivyoingizwa ili afahamu namna atakavyoweza kuzipata (kuzisimbua). Maelezo yafuatayo yanamwelekeza mtumiaji kamusi namna ya kuitumia kamusi hii Kidahizo Kidahizo ni neno linaloingizwa katika kamusi ili lifafanuliwe kwa kupatiwa maelezo yanayohusu taarifa za kisarufi, maana, matumizi, etimolojia, semi mbalimbali za lugha n.k. Vidahizo vya kamusi hii ni maneno ya kawaida ya Kiswahili yanayotumika katika nyanja mbalimbali za mawasiliano miongoni mwa wazungumzaji wa Kiswahili. Msamiati huu umetokana na Kiswahili sanifu na umekusanywa kutoka matini za msingi za Kiswahili sanifu, kama vile kamusi za Kiswahili zilizopo: TUKI (1981) Kamusi ya Kiswahili Sanifu, TUKI (2001) Kamusi ya Kiswahili Sanifu (toleo jipya), Johnson (1939) Kamusi ya Kiswahili–Kiingereza na Feeley (1990) Kamusi ya Kiswahili–Kiingereza.Maneno mengine yametokana na orodha ya msamiati wa fani mbalimbali ulioundwa au kusanifiwa na BAKITA, na kutumiwa kufundishia katika shule za msingi, sekondari na hata vyuo vikuu. Prezentaciya dlya doshkoljnikov moya semjya. Msamiati ulioingizwa kama vidahizo ulikusanywa pia kutoka magazeti ya Kiswahili na vitabu vya riwaya, tamthiliya na mashairi ya Kiswahili vilivyochapishwa Kenya na Tanzania. Kwa hivyo msamiati uliomo humu unawakilisha Kiswahili kinachoongewa Afrika ya Mashariki.

Kamusi ina vidahizo vya aina mbili: 1) kidahizo kikuu, na 2) kidahizo mfuto. Kidahizo kikuu Neno linaloingizwa kama kidahizo kikuu, kwa kawaida huwa ni umbo la msingi la neno.

Habarini wote! Kutokana na maombi ya watu wengi waliokuwa wanatafuta hii KAMUSI (Dictionary) ya TUKI - Kiswahili kwenda Kingereza na Kingereza kwenda Kiswahili.

Kuliko kum-PM mtu mmoja mmoja nimeona ni-i-upload into external servers ili kila mtu aweze kui-download kwa maendeleo ya kila mmoja wetu. Link yenyewe ni hii hapa (download): N.B: nime-izip, kwa hiyo uki-download just unzip it alafu uitumie. Kama ukiona post hii imekuwa ni ya msaada kwako si mbaya ukagonga kile kidude chetu cha LIKE!.